Ugonjwa wa Virusi vya Corona, yaani Coronavirus (COVID-19) – ushauri kwa wanaotafuta wenza
Virusi vya corona vipo, na tunakutaka uwe mwangalifu! Ustawi na uzima wako ndivyo vipaumbele vikuu kwetu! Jukwaa letu ni sehemu bora kabisa katika kukukutanisha na marafiki wapya. Na ingawaje tunapenda ufurahie maisha yako hapa lakini kujikinga na virusi vya korona ni jambo muhimu sana. Hivyo basi, tunashauri njia za kujikinga na virusi vya korona […]
Read morePicha za wasifu zinazoruhusiwa
Ukisoma maelezo haya, kuna uwezekano utagundua picha uliyopakia inaenda kinyume na kanuni zetu za matumizi ya mtandao huu. Hapa chini tumeorodhesha baadhi ya sababu zinazotufanya tufute picha zako.
Read moreJinsi ya kuufanya wasifu wako kuwa bora
Linapokuja suala la kutafuta mwenza mtandaoni, ni muhimu kujitofautisha na wengine na kuwa na wasifu uliosukwa vizuri na kuwa bora. Tumekuandalia vidokezo vitano vitakavyokusaidia kuufanya ukurasa wa wasifu wako kuwa bora zaidi.
Read more