Furahi huku ukitafuta mwenza sahihi wa ndoto zako!

Chati na fanya miadi na waseja kibao toka sehemu mbalimbali Tanzania.
Waseja wapya zaidi ya 500 kila wiki!

Unataka kufahamu jinsi mtandao huu unavyofanya kazi?


Hatua ya 1
Jisajiri na ingiza taarifa zako za msingi

Hatua ya 2
Anza kuperuzi waseja warembo na watanashati waliopo

Hatua ya 3
Chati na wale wazuri zaidi kwako

Hatua ya 4
Kutaneni mahali na kupiga stori za kufahamiana zaidi na yule uliyempenda kuliko wote

Je, ungependa uhusiano na ndoa yenye furaha?

Utafiti kutoka Marekani unaonesha kwamba, Wenza wanaokutana kwenye mitandao inayokutanisha wapenzi na kisha wakafunga ndoa; ndoa zao huwa na furaha zaidi kuliko wenza waliokutana kwa njia nyingine. Bila shaka utafiti huo ni sababu tosha ya kukufanya kujiunga na mtandao wetu ili upate fursa ya kukutana na mwenza wa ndoto zako...